Kwa mujibu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Habari la Hawza, Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki ilichapisha ujumbe wa pongezi kutokana na mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Katika taarifa iliyoandikwa ya wizara hiyo imeelezwa kuwa: “Tunatoa pongezi zetu kwa moyo wa dhati Siku ya Kitaifa ya jirani yetu, Iran.”

Maoni yako